ODINAREH BINGWA AACHIA VIDEO MPYA – PRESSURE

0

Msanii mkali wa Hiphop kutoka ukanda wa pwan Odinareh Bingwa ameachia video ya wimbo wake mpya kwa jina “pressure.”

Wimbo wa pressure ambao uliachiliwa siku chache zilizopiata umeendelea kupata sifa kutoka kwa mashibiki wa mziki wa Hiphop kanda ya pwani.

Odinareh bingwa ambaye anatokea Diani upande wa pwani kusini, ameonyesha mapenzi yake kwa eneo analotoka kupitia mistari yake .

 

Itazame hapa

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DIAMOND AZUNGUMZIA UHUSIANO NA BABAKE

Diamond Platnumz amekanusha madai yaliyozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba hamsaidii babake mzazi . Akizungumza baada ya kutoka mahakamani kuskiliza kesi ya malezi ya mtoto ...
Skip to toolbar