NYOTA NDOGO AIBIWA MACHO MACHO

0

Msanii mkongwe wa muziki hapa kanda ya pwani amewashanga wengi baada ya kusimulia alivyoibiwa pesa na mtu asiye mjua.

Kupitia akaunti yake ya mtandao wa instagram, nyota ameeleza kuwa alitembelewa na mtu mmoja asie mfahamu ambaye alimuitisha pesa na yeye bila hata kumuuliza maswali zaiidi hakukataa na alijikuta amemkabidhi hilo hizo.

Kulingana na msanii huyu ni kuwa anashuku jamaa huyo alitumia mazingaombwe kumuibia kilaini na kwenda zake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

WILLY PAUL AKEMEA BAADHI YA MAKANISA

Msanii wa nyimbo za injili Willy Paul amekashifu baadhi ya makanisa kwa kile alichodai kama “unafiki”, katika kuendesha shuguli za injili nchini. Willy Paul anadi ...
Skip to toolbar