NUH MZIWANDA AFICHUA FAIDA YA KOLABO YAKE NA ALIKIBA

0

Msanii wa muziki wa Bongo Flava nchini Tanzania, Nuh Mziwanda anasma kolabo yake na Ali KibaJike shupa” ilimwezesha kupata faida ya kimziki na kujenga nyumba.

Akijibu tetesi kuhusu nyumba anayodai kuwa yake, Nuh Mziwanda amesema kuwa kolabo ya ‘Jike Shupa ilimuwezesha kufanya tour Tanzania nzima.

Nuh Mziwanda ameeleza kua pesa alizokua akipata alikua akituma kwa mamake mzazi, aliyesimamia shughuli yote ya ujenzi wa nyumba hiyo

Ngoma ya Jike Shupa ambayo ilitoka Juni 2016 ndio ngoma pekee kutoka kwa Nuh Mziwanda kufikisha views zaidi ya milioni 2 katika mtandao wa YouTube.

Pia “Jike Shupa” ndio wimbo wa mwisho kwa Nuh kumshirikisha msanii mwingine.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar