NIKKI MBISHI AWACHANA WATANGAZAJI

0

Msanii wa muziki wa hip hop nchini Tanzania Nikki Mbishi ameonyesha kukerwa aina fulani ya uulizaji maswali katika interview za wasanii nchini Tanzania.

Nikki Mbishi anadai katika interview nyingi za wasanii wengine, maswali kuhusu Diamond na Ali Kiba ndio hushamiri.

Kupitia twitter account yake, Nikki Mbishi amedai watangazji wengi lazima waulize swali msanii wanayemhoji kama ana mpango wowote wa kufanya ngoma na wasanii Ali Kiba au Diamond.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DIAMOND AMNUNULIA HAMISA NYUMBA

Diamond Platnumz amethibitisha kwamba amemnunulia Hamisa Mobetto nyumba mpya. Diamond amethibitisha haya baada ya taarifakusamba  katika mitandao ya kijamii kwamba Hamisa amehamia nyumba mpya pamoja ...