NICOLAS CAGE ATAKA TALAKA SIKU 4 BAADA YA KUFUNGA NDOA

0

Muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani Nicolas Cage amewashangaza wengi baada ya kutaka mahakama kusitisha ndoa yake na mwanadada Erika Koike siku nne baada ya kufunga ndoa.

Ndio Nicolas Cage ataka kuivunja ndoa siku nne baada ya kuigunga.

Ripoti za punde zaidi nchini Marekani zinaeleza kuwa Nicolas na Erika walifunga ndoa siku ya Jumamosi  iliyopita jijini Las Vegas lakini siku ya jumatano alikua amerudi mahakamani akitaka jaji mmoja kuifutilia mbali ndoa hiyo.

Nicolas and Erika wamekua wapenzi tangu April mwaka 2018 na nicoalsa amewahi kuoa mara tatu katika maisha yake ya nyuma ikiwa na wanadada Alice Kim, Lisa Marie Presley na Patricia Arquette

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RAPA FABULOUS AEPUKA KIFUNGO JELA.

Msanii maarufu nchini marekani Fabulous ameepuka kifungo cha hadi miaka 20 jela, baada ya kuingia katika makubaliano na kiongozi wa mashtaka katika kesi ya kujeruhi ...
Skip to toolbar