NICKI MINAJ NI MJAA UZITO.

0

Tovuti mmoja ya maswala ya mziki nchini Marekani inaripoti kuwa rapper wa kike nchini Marekani Nicki Minaj ni mjaa uzito.

Tovuti ya AllHipHop inaripoti kuwa Nicki Minaj anaujauzito na kwamba inauthibitisho wa taarifa hizi

Taarifa inasema Nicki Minaj alijua ana mimba mwishoni mwa mwezi wa 12 mwaka 2017 na anampango wa kutoa taarifa rasmi kwenye tuzo za Grammy mwaka huu.

Sababu nyingine iliyopelekea mapaparazzi kuamini taarifa hizi ni haua ya Nicki Minaj kupotea kabisa kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni kinyume na mbwemmbwe zake za awali.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

JUMA NATURE AMTAMANI YEMI ALADE

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva ambaye, Juma Kassim aka Juma Nature, amefichua hisia zake za mapenzi kwa msanii wa kikekutoka Nigeria  Yemi Alade. Juma Nature ...
Skip to toolbar