NGUNASH APATA KIDUME KIPYA TANZANIA.

0

Iliyoanza kama safari ya kwenda kutengezeza video ya wimbo wake katika taifa jiraniya Tanzania, imegeuka kuwa safarimuhimu katika swala la mapenzi, kwa msanii wa kike kutoka kanda ya pwani kwa jina Ngunash.

Sasa ni rasmi kwamba Ngunash amejipatia kidume kipya ambaye pia ni msanii raia wa Tanzania kwa jina Bright.

Katika ujumbe wa kuthibitisha mapenzi yao katika mtandao wa Instagram, msanii Ngunash amekiri kwamba ameshindwa kuukataza moyo wake kumpenda Bright walipokutana mji wa TangaTanzania, wakati waki‘shootvideo ya wimbo wa Ngunash.

Bright ni msaniichipkizi nchini Tanzania amejulikana zaidi baada ya kufanya wimbo na wasanii wakubwa Tanzania kama Barakaha The Princena majuzi Nandy katika wimbo kwa jina “Umebadilika

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar