NAY WA MITEGO AACHIA KAZI MPYA.ASHANGAZA MASHABIKI

0

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, Nay wa Mitego ameachia wimbo wake mpya na kuzuua gumzo mtandaoni.

Wimbo huo kwa jina “Hakuna Maisha Magumu” umeshangazwa wengi ambao hawajazoea mtindo mpya wa Nay Wa Mitego katika wimbo huu.

Nay Wa Mitego ambaye amezoeleka na nyimbo za kibishi na matusi, round hii ameimba kuhusu vijana kujituma na kutochagua kazi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar