NAS  KUACHIA ALBUM MPYA

0

Rapper mkongwe nchini Marekani Nas anatarajiwa kuachia albamu yake mpya Ijumaa hii.

Mtayarishaji wa albamu hiyo ni Kanye West .

Katika ujumbe wake kupitia mtandao wa twitter, Kanye West  amefichua kuwa album hiyo itasheheni nyimbo saba tu na kutoa majina yake.

Hii itakuwa albamu ya 11 kwa rapper Nas huyo ambaye amekuwa kimya tangu alipoachia album ya “Life is Good” iliyotoka Julai 17 mwaka wa 2012.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar