NAS ALALAMIKA KUHUSU MTOTO WAKE

0

Msanii wa Hip Hop nchini Marekani Nas analalamikia kukatazwa kuona mwanawe wa kiume mwenye umri wa miaka 8 na Ex wake.

Nas amabye alitengana na mwanadada mmoja kwa jina Kelis ambaye wamezaa nae mtoto huyo kwa jina Knight Jones anadai amekua akijaribu kupata nafasi ya kumuona mtoto wake mara kwa mara lakini Kelis amekuwa mgumu kumpa nafasi hio na kila mwaka hali hii inazidi kuwa mbaya.

Nas amesema yuko tayari kwenda mahakamani tena kuhakikisha anapata muda na mwanae.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar