NANI ALISEMA DAMU NZITO KWENYE MZIKI!JOSE CHAMELEONE AGUNDUA

0

Kaka wa msanii mkubwa nchini Uganda, Humphrey Mayanja amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kukataa live live kumpigia kura kakake Jose Chameleone na badala yake kumpigia kura Diamond Platnumz katika tuzo za kimataifa.

Kwenye kurasa yake ya facebook Humphrey alipost screenshot ikinyosha amempigia kura Diamond Platnumz katika tuzo za za AFRIMA na kuwaacha nje Jose Chameleone na Bebe Cool ambao wote walikua kwenye kitengo kimoja na Diamond.

Mashabiki wengi mtandaoni wamemkashifu Humphrey Mayanja wakidai amepoteza kura na kuvua uzalendo wa taifa lake kwa kupigia kura msanii wa wa taifa la kigeni na kusaliti wasanii wa kwao Uganda.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar