NANDY KUELEMISHA WANAFUNZI KUHUSU USALAMA MITANDAONI

0

Msanii wa kike nchini Tanzania Nandy, anasema anajipanga kuanza kampeini ya kuelimisha vijana na wanafunzi katika jamii kuhusu kutunza maadili katika mitandao ya kijamii.

Akizungumza baada ya kukutana na afisi ya mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania, Nandy amesema anajutia kuvuja kwa video zake za utupu katika mitandao ya kijamii na kueleza kuwa kwa sasa amejifunza kuwa sio sahihi kujichukua video zozote za utupu.

Nandy anasema kuna watu wengi wanapitia hali kama yake na akotayari kushirikiana na serikali ya Tanzania, katika kuelimisha wasanii, wanafunzi na jamii kwa ujumla.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DUBAI YA MKANA R.KELLY

Serikali ya Dubai imekanusha madai kwamba mkongwe wa RnB ulimwenguni R.Kelly amepangiwa show katika taifa hilo. Dubai imetoa kauli hii baada ya R.Kelly kuitaka mahakama ...
Skip to toolbar