NANDY ASEMA YEYE NDIO NAMBA MOJA

0

Msanii wa Bongo Flava, Nandy anadai kwa sasa yeye ndiye msanii wa kike namba moja nchini Tanzania.

Nandy amedai kwa sasa yupo mbele ya wasanii Vanessa Mdee na Ruby

Nandy hata hivyo amesema anawaheshimu sana wasanii wengine wa kike waliomtangulia katika tasnia ya Bongo Flavaz.

Nandy ametaja takwimu za mafanikio yake katika mitandao ya kijamii kama youtube ambako anajivunia kua msanii wa kike mwenye mashabiki wengi zaidi kama ushahidi.

Nandy aidha ameweka wazi kua hatarajii kusalia nambamoja milele kwani tasnia ya ziki lazima wasanii wabadilishane nafasi kulingana na mda.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

SEPTEMBA DAVIDO APANGA KUFANYA HILI

Staa wa muziki kutokea Nigeria Davido ametangaza kuachia Album yake ya nne baadae mwezi Septemba 2018. Davido ameachia album 3 katika safari yake ya kimziki ...
Skip to toolbar