NANDY APANGA KUACHA MZIKI.

0

Msanii wa kike nchini Tanzania Faustina Charles Mfinanga alimaarufu Nandy amefunguka  kuwa anajipanga kuachana na maswala ya mziki miaka kadhaa ijayo.

Nandy amefichua kuwa alipanga kufanya mziki kwa kipindi cha miaka mitano, kabla ya kujiingiza katika  biashara na kwa sasa amefikisha miaka miwili.

Nandy ameeleza kuwa ifikiapo mwaka wa 2020 atakua amekamilisha miaka mitano na atapunguza utoaji nyimbo hadi moja kwa kila mwaka pamoja ziara za shows ili kumakinika zaidi na biashara zake.

Nandy alianza mziki mwaka wa 2016 na kwa sasa ni miongoni mwa wasanii bora wa kike nchini Tanzania.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar