NANDY AMSIFU ALI KIBA.

0

Msanii wa kike nchini Tanzania Nandy anasema amevutiwa na hatua ya msanii wa kiume nchini humo Ali Kiba, kuanzisha biashara ya kinywaji aina ya energy drink.

Nandy amepongeza wazo la Ali Kiba kuingiza sokoni kinywaji hicho kwa akisema hivyo ndio vitu ambavyo wasanii wanapaswa kuigana.

Nandy anasema ni jambo jema wasanii kuekeza nje ya tasnia ya mziki.

Siku ya harusi yake, msanii Ali Kiba alitangaza kuingiza sokoni rasmi kinywaji chake kwa jina MO FAYA

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar