NANDY AFICHUA SABABU YA KUTOMZUNGUMZIA BILL NASS SIKU HIZI.

0

Msanii wa muziki Bongo Flavaz, Nandy amefichua sababu kuu inayomfanya kutozungumzia kikichotokea kati yake na Bill Nas miezi kadhaa iliyopita.

April 12, 2018 Nandy na Bill Nass waligonga vichwa vya habari za burudani afrika mashariki baada ya kuvuja kwa video yao ikiwaonesha wakiwa faragha uchi.

Nandy ameeleza kuwa amekatazwa na Boyfriend wake kuzungumzia kile kilichotokea kati yake na Bill Nass.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar