NAMELESS AWAZUNGUMZIA DIAMOND NA ALIKIBA. JE ASEMAJE

0

Msanii Nameless amewazungumzia Diamond na Alikiba na tofauti walizonazo kimuziki.

Akijibu swali la nani mkali kati ya Diamond na Alikiba, staa huyu ambayepia  ni mume wa staa mwingine wa mziki Kenya, Wahu, amesema wote ni wakali kwa sababu tofauti.

“Kwa kweli naona kila mmoja ni mkali for different reasons,” alisema Nameless.

kibadi2

 

“Namheshimu Kiba kwa sababu naweza kusema bado anafanya mambo makubwa na amekuwa kwenye industry kwa muda mrefu kwahiyo hapo ndipo nampatia heshima.”

“Halafu nikiangalia Diamond nampatia heshima kwa sababu kwa kweli amefanya mambo mapya makubwa zaidi lakini yeye naweza kusema ni younger new artist kuliko Ali kiba kwahivyo kwake nampa heshima kwa sababu ya kufanya mambo mapya makubwa zaidi”.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

SUGU KUJA NA NAMBA YA JELA

Mbunge wa Mbeya mjini nchini Tanzania Joseph Mbilinyi  (Sugu) ambaye pia ni msanii nguli na mkongwe kwenye game ya Hip Hop ya Tanzania, anatarajia kuachia ...
Skip to toolbar