MZIKI UNALIPA. OTILE BROWN AJINUNULIA ZAWADI.

0

Msanii Otile Brown amesistiza kuwa mziki unalipa.

Kupitia akaunti yake ya instagram, Otile Brown ame post picha akiwa na gari aina ya Mercedes jipya alilojinunulia na kuambatanisha na ujumbe wa kusistiza kuwa mziki unalipa.

Gari hilo ni aina ya AMG E63na ni la pili kwani  Otile Brown alijinunulia la kwanza mwezi  Novemba mwaka jana.

Haa hivyo Otile Brown ameweka wazi kuwa mziki unaolipa ni mziki mzuri na kuwataka wasanii kumakinika katika kazi zao wanazotoa

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

TIMMY TDAT AZINDUA VIATU VYAKE

Msanii Timmy Tdat kutoka jijijni Nairobi amezindua bidha mpya chini ya fashion label yake ya ‘Tdat Pamba’ Timmy amezindua open shoes/sandals (ama gubadhi) mpya chini ...
Skip to toolbar