MZEE AFANIKISHA AZMA YAKE YA KUJIUA

0

Hatimaye mwanasayansi wa Australia David Goodall ametimiza azma yake ya kujiua katika kliniki moja nchini Uswisi .

Goodall aliyekua na umri wa miaka 104, alisafiri nchini Uswizi ambako zipo sheria zinazoruhusu mtu kujitoa uhai kwa kusaidiwa na madaktari iwapo anasababu za kutosha.

Ombi la Goodall kujitoa uhai sababu amezeeka sana na maisha yake yamekua ya dhiki kufuatia umri  wa maiak 104 lilikubaliwa na kusaidiwa kujiua jana.

Hatua yake imezua mjadala mkali kuhusu swala la kujitoa uhai duniani huku wanaounga mkono mtindo huu wakiataka mataifa mengine kuiga sheria za uswizi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

TANZIA: D’BANJ AFELEWA.

Msanii D’Banj wa nchini Nigeria amempoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja. Taarifa zinadai kuwa staa huyo alikuwa nchini Marekani kwaajili ya ...
Skip to toolbar