MZEE MAJUTO AWAJIBU WALIOMZUSHIA KIFO.

0

Muigizaji mkongwe wa filamu nchini Tanzania Mzee Majuto anasema haogopi kufa.

Mzee Majuto amesema haya baada ya kusambaa kwa tetesi kuhusu kifo chake katika mitandao ya kijamii.

Mzee Majuto amelaumu watu wanaotumia mitandao vibaya kama kiini kikuu cha kusambaa ka taarifa za kifo chake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MEEK MILL ATOKA JELA

Rappa maarufu kutokea jimbo la Philadelphia nchini Marekani Meek Mill ametoka jela. Meek mill alilazimika kutumikia kifungo cha miezi sita gerezani baada ya kukiuka masharti ...