MWANAMKE AACHA KAZI ILI KUMNYONYESHA MUMEWE MWENYE UMRI WA MIAKA 36

0

Mwanamke mmoja jijini Atalanta nchini Marekani ameacha kazi ili kumnyonyesha mumewe mwenye umri wa miaka 36

Jennifer Mulford amezua gumzo mtandaoni baada ya kukiri mbele ya umma kwamba amewacha kazi ili aweze kumnyonyesha mumewe kwa jina Brad Leeson, kila baada ya masaa mawili.

kunyonyesha

Akizungumza  na gazeti moja nchini marekani, Bi. Mulford amedai alianzisha mpango wa kumnyonyesha Bw. Leeson baada ya kusoma kuhusu  mshikamano wa kihisia unasababishwa na unyonyeshaji

Jenifer ambaye tayari ana mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 20, amelazimika kumnyonyesha mumewe kila baada ya masaa mawili ili aweze kuudanganya mwili wake utoe maziwa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

ROMA AMTETEA PROFESSOR JAY KUHUSU HILI.

Muziki wa Singeli unaonekana kuwaumizwa vichwa wasanii wengi wa Hip Hop hasa baada ya Professor Jay kuachia wimbo wake mpya kwa jina ‘Kazi Kazi’ aliomshirikisha ...
Skip to toolbar