MWANAMITINDO HUDDAH MONROE ATAMANI HILI.

0

Mfanyabiashara na mwanamitandao Huddah Monroe, ameanza kuitamani ngozi nyeusi katika mwili wake.

Mrembo huyo aliyeamua kujikita katika biashara za urembo wa vipodozi ametoa kauli hiyo kupitia mtandao wa kijamii wa Snapchat.

Huddah Monroe anasema iwapo atapata nafasi ya kufa leo na kuzaliwa tena upya, angependa kurudi akiwa na ngozi nyeusi sana.

Mrembo huyo ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa rapper Prezzo anadaiwa kujichubua ngozi siku za nyuma baada ya kupata pesa nyingi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MZEE AFANIKISHA AZMA YAKE YA KUJIUA

Hatimaye mwanasayansi wa Australia David Goodall ametimiza azma yake ya kujiua katika kliniki moja nchini Uswisi . Goodall aliyekua na umri wa miaka 104, alisafiri ...
Skip to toolbar