MWANAFUNZI APEWA KIPIGO KWA KUTOKA KIMAPENZI NA MWANAFUNZI MWENZAKE.

0

Mwanafunzi mmoja wa darasa la saba anauguza majeraha mabaya baada ya kupata kipigo kutoka kwa mwalimu wake kwa tuhuma za kutoka kimapenzi na mwanafunzi mwenzake wakike katika aliye darasa la nane.

Kisa hiki kimetokea katika shule ya msingi ya JoyMax Academy mjini Eldoret.

Mwalimu huyo kwa jina David Webwe, anadaiwa kumchapa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12 akitumi wire na kumuuza sana.

Mwalimu huyo amekiri kumpa kibano mwanafunzi huyo akidai ni mingoni mwa kikundi cha wanafunzi wasiokua na adabu katika shule hiyo.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

BARAKA THE PRINCE ATIWA MBARONI. KISA?

Msanii wa muziki nchini Tanzania The Prince, anadaiwa kukamatwa na kuzuiliwa na polisi nchini Tanzania, kwa kile kilichodaiwa kama kumtapeli dada mmoja hela. Katika kipande ...
Skip to toolbar