MWANADADA AJINUNULIA JENEZA LA KSH 1 MILLION!

0

Mwanadada maarufu na mnenguaji hodari toka Afrika Kusini kwa jina Zodwa Wa Bantu,amewashanga za wengi baada ya kujinunua jeneza lililogharimu milioni moja akijitayarisha kwa kifo chake.

Kupitia akaunti yake katika mtandao wa instagram, zodwa amesema amechukua uamuzi huo ili asichangiwe jeneza iwapo atafiriki na pia kuwaepushia mzigo familia yake wakati wa mazishi yake.

Baada ya kulilipia cash jeneza hilo la dhahabu, Zodwa alilijaribu kama litamtosha ambapo alilala ndani na baada ya kumaliza kulijaribu alitangaza kuwa sasa upo tayari kufariki na anangoja muda na saa zake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar