MWALIMU MJAA MZITO (28) ALA URODA NA MWANAFUNZI (15)

0

Mwalimu mmoja katika jimbo la Texas nchini Marekani amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela na mingine 10 ya kifungo cha nje baada ya kupatika na hatia ya kufanya mapenzi na mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka 15.

Katherine Harper mwenye umri wa miak 28, anasemkana kua na mahusiano ya kimapenzi kwa miezi kadhaa mwaka uliopita na mwanafunzi aliyekutana nae katika shule ya msingi ya Tidwell huko Roanoke, ambapo walikua akifundisha somo ya kiingereza na kocha wa tenisi.

L akushngaza zaidi ni kwamba wakati akikamatwa baada ya kitendo hicho Bi. Harper alikua na ujauzito wa miezi nane.

Haijabainika kama mimba hiyo ni ya kijana aliyefanya naye mapenzi

Bi.Harper amekiri kufanya kitendo hicho ambacho ni kinyume na sheria za eneo hilo.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar