MÙGÙKA KUPIGWA MARUFUKU

0

Shirika la kupambana na utumizi wa mihadarati na vileo nchini NACADA linasema kuwa lina mipango ya kupiga marufuku utafunaji wa mogokaa nchini.

Mkurugenzi wa NACADA Bi. Farida Rashid anasema utumizi wa mogokaa umeharibu vijana wadogo  na kuwafaya wengi wao kupoteza muelekeo wa kimaisha.

Bi. Rashid aidha amesema kuwa jamii ya sasa imepotoka kimaadili ikilinganishwa na kizazi cha nyuma akisema kuwa wakati huu baadhi ya watu wanatumia vileo na mihadarati hadharani bila kujali.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

GRAND PA YAFIKA MWISHO?

Msanii wa mwiso aliyekua amebaki katika record label iliyowahi kuvuma miaka ya nyuma Grand Pa Records Dufla Diligon ametangaza kuihama record label hiyo. Taarifa za ...
Skip to toolbar