MTOTO WA TIWA SAVAGE JUKWAANI

0

Mwanamuziki maarufu wa kike wa Nigeria, Tiwa Savage, ameshangaza mashabiki wake alipoibuka stejini kutumbuiza akiwa na mtoto wake wa kiume aitwaye Jamil.

Tiwa-Savage-2-600x307

 

Jamil baadae aligeuka na kuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki waliojitokeza katika shoo yake.

Kitendo hicho kimekuwa ni mwendelezo wa wasanii kuibuka stejini na watoto wao, ambapo mwaka 2012, mwanamuziki Lauryn Hill wa nchini Marekani, ambaye amewahi kutoa moja ya albam zenye kupendwa zaidi duniani, alibuka na watoto wake stejini.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar