Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka minne katika jimbo la Seattle nchini marekani amempiga risasa ya uso mamake ambae ni mja mzito bila kukusudia.
Kulingana na taarifa kutoka kwa msemaji wa idara ya polisi eneo hilo kwa jina Sgt. Ryan Abbott, mtoto huyo akichezea katika chumba cha wazazi wake alipata bunduki ya babake chini ya godoro yenye risasi na kumfyatulia mamake usoni.
Taarifa za matibabu ainaeleza kuwa mama yupo katika hali nzuri baada ya kukimbizwa hospitai punde baada ya tukio.
No comments