MSANII:KAMA HUJANUNUA MZIKI WANGU USINISONGELEE!

0

Rapa maarufu tokea Afrika Kusini AKA Amesema shabiki asiombe kupiga nae picha kama haja nunua kazi yake ya mziki.

Kupitia kurasa zake mitandaoni AKA amewataka mashabiki wanaotaka kupiga picha na yeye wanunue kazi zake ndio watapata fursa ya kuwa karibu na yeye.

AKA ametoa album mpya aliyoipatia jina la ‘Touch My Blood’

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar