MSANII WAKIKE APIGWA PICHA YA JARIDA KIFUA WAZI

0

Rapper wa kike nchini Marekani Nicki Minaj amepigwa picha ya utupu kwa ajili ya cover ya jarida moja maarufu nchini Marekani kwa jina Paper Magazine.

Kulingana na  picha inayosambazaa katika mtandao wa instagram kwa sasa, Nicki Minaj anaonekana akiwa kifua wazi bila sidiria huku alichoziba ikiwa chuchu zake tu.

Aidha kabla ya kuzinduliwa kwa toleo hilo, Nicki Minaj alipost vipande vya video vya kutatanisha ambavyo vilipeleka baadhi ya watu kufikiria akunti yake ya ilikua imedukuliwa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || PAT C & SHA BIGGY – NAUNEWE

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST : Pat C & Shaa Biggy – Naunewe: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo ...
Skip to toolbar