MSANII WA NIGERIA ASAINI DEAL ZITO NA JAY Z

0

Nyota ya mwanadada Tiwa Savage inazidi kung’aa baada ya kupata mkataba mnono na label ya Roc Nation iliyopo chini ya Rapper Jay Z.

Duru zinaarifu kuwa Jay Z ameshawishiwa na uwezo wa Tiwa na kukubali kumsaini May 24 chini ya wawakilishi wa Roc Nation, Briant Biggs na Shawn Pecas.

Tiwa-Savage-Screenshot-25_05_2016-09_19_15-AM

Hata hivyo sherehe rasmi za kumtangaza kama mwana familia mpya wa Roc Nation hazijafanyika huku label hiyo ikiwa pia bado haijathibitisha taarifa.

Iwapo taarifa hzi zitakua nan i za ukweli, Tiwa atakuwa msanii wa kwanza kutoka Nigeria kusainiwa kwenye label hiyo na kujiunga na mastaa wengine kama Rihanna, Big Sean, DJ Khaled na wengine.

Balozi huyo wa Forte Oil, MTN na Pepsi kwa sasa yupo chini ya label ya Don Jazzy, Mavin Records.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DIAMOND AOMBA MSAMAHA.

Hatimaye Diamond Platnumz amefinyaa na kuamua kuomba msamaha uma, kufuatia kitendo chake cha ku’post video ya utupu katika mitandao ya kijamii. Katika ujumbe wake wa ...
Skip to toolbar