MSANII WA KWANZA AFRIKA KUMILIKI NDEGE YAKE BINAFSI

0

Msanii maarufu nchini Afrika Kusini Cassper Nyovest ametajwa kuwa msanii wa kwanza wa Rap/HipHop Africa, kumiliki ndege yake binafsi.

Cassper amekuwa akiweka rekodi kwa kujaza watu kwenye show zake za muziki katika viwanja vikubwa nje na ndani ya Afrika Kusini toka mwaka 2016 na 2017.

Mpaka sasa inaripotiwa kuwa Cassper ameuza zaidi ya kopi milioni 10 za albam zake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar