MSANII WA BONGO FLAVAZ AKANA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA

0

Msanii Bongo Flavaz Christian Bella ‘Obama’ amekana uvumi kwamba ni mtumizi wa madawa ya kulevya.

Siku za punde kumesambaa uvumi tetesi kwamba msanii huyu anatumia madawa ya kulevya na upo ushahidi kuhusu nadai haya.

Christian Bella ameziataja taarifa hizi kama zisizo na ukweli wowote zinazosambazwa na watu wasiomtakia mema.

Christian Bella amewahakikishia mashabiki zake kuwa kamwe hawezi kujiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na sababu alikosa kufanya show mbili ni alikuwa anaumwa na walasio uteja kama ilivyozushwa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

ASAFIRI USWIZI KWENDA KUJITOA UHAI

Raia mmoja wa Australia amegonga vichwa vya habari baada ya kuanza safari kuelekea nchini Uswizi kwenda kujiua. David Goodall mwenye umri wa miaka 104 ameaga ...
Skip to toolbar