MSANII RADIO WA KUNDI LA RADIO & WEASEL AMEFARIKI

0

Msanii Radio anateunda kundi la Radio & Weasel kutoka nchini Uganda amefariki.

Radio ambaye alikua akiendelea kupata matibabu baada ya kujeruhiwa kichwa majuzi, amefariki hospitali akiendelea kupata matibabu.

Mapema jana rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni alitoa zaidi ya laki nane pesa za Kenya kugharamia matibabu yake.

Radio alijeruhiwa tarehe 23 mjini Entebe baada ya kuhusika katika vuramai lililozuka nje ya mkahawa mmoja ambapo alipoteza fahamu kwa siku kadhaa kabla ya kuamka lakini baadaye hali yake ilikataa kuimarika na kupelekea kifo chake asubuhi ya leo.

Maombi maalumu yalikuwa yameandaliwa kwa ajili yake mnamo jumapili ya February 4 mwaka huu katika kanisa la moja nchini Uganda.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MSANII AUA MKEWE ILI AFANIKIWE KIMZIKI.

Msanii mmoja chipkizi kutoka kijiji cha Adyanglit, mji wa Muntu wilaya ya Amolatar nchini Uganda anazuiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mkewe ili afanikiwe kimziki. ...
Skip to toolbar