MSANII RADIO KUFANYIWA MAOMBI

0

Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Radio atafanyia maombi maalumu kufuatia ajali mbaya iliyompelekea kulazwa hospitali akiwa hali mahututi kwa siku kadhaa sasa.

Maombi hayo yameandaliwa kufanyika kwenye kanisa la Light The World lililopo Nansana nchini Uganda.

Msanii huyo ambaye anaunda kundi la Radio & Weasel,   tangu January 23 mwaka huu alijeruhiwa katika vurumai lililozuka nje ya mkahawa  mmoja.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar