MSANII MWENGINE KUTOKA PWANI ALENGA KUFUNGUA STUDIO.

0

Msanii Sudiboy Mohamed kutoka hapa ‪Pwani ako katika harakati za kufungua studio yake ya kurekodia mziki.

Kulingana na taarifa, msanii Sudi Boy analenga kufungua jumba la kurekodia mziki na kuongeza idadi ya studios katika ukanda wa Pwani.

Kulingana na msanii huyu, tayari mipango imekamilika na kilichobakia ni kutafu producer na kutafuta jina halisia la studio hii.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NAY WA MITEGO AJIBU BASATA

Baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kuufungia wimbo mpya wa Nay wa Mitego ‘Pale Kati Patamu,’ msanii huyo amefika mahakamani kuatafuta haki. Kulingana na ...
Skip to toolbar