MSANII DARASSA ANAJIPANGA KUTOA WIMBO MPYA?

0

Msanii aliyewahi kutikisa tasnia ya mziki kanda ya afrika mashariki Darassa amezua msahawasha katika mtandao wa kijamii, baada ya akaunti moja ya insatgram inayoaminika kuwa yake, ku post kipande kifupi cha video kinachomunyesha msanii huyo akiwa location ya ku shoot video ya wimbo.

Mamia ya masahabiki wamejitokeza mitandaoni kusifu ujio wake mpya katika tasnia ya mziki baada ya kimya cha kimziki kilicho dumu takribani miaka miwili sasa, licha ya kazi yake ya mwisho kuwa na mafanikio makubwa.

Darassa anasifika kanda ya afrka mashariki kwa vibao vyake “Muziki” na “Hasara Roho” ambavyo vilivuma kanda nzima ya Afrika Mashariki.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || CHIKUZEE – I LOVE YOU

DOWNLOAD AUDIO Chikuzee – I Love You Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani. Tembelea HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo JIUNGE NAMI KUPITIA  Twitter: @BaloziTeddy     Instagram: @teddymwanamgamboFacebook: Teddy ...
Skip to toolbar