MSANII AUA MKEWE ILI AFANIKIWE KIMZIKI.

0

Msanii mmoja chipkizi kutoka kijiji cha Adyanglit, mji wa Muntu wilaya ya Amolatar nchini Uganda anazuiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mkewe ili afanikiwe kimziki.

Ronald Okao mwenye umri 26 amekamatwa baada ya kushirikiana wenzake kumuua mkewe mwenye umri wa miaka 19.

Imeezwa kuwa Okao alitekeleza kitendo hicho akitimiza sharti la mganga mmoja wa kienyeji alipokwenda kutafuta mbinu ya kufanikiwa kimziki.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

LINAH AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Estelina Sanga maarufu kama Linah amejifungua mtoto wa kike. Linah amejifungu salama katika hospitali ya Marie Stopes, ...