MSANII ATANGAZA KUACHA KUTUMIA SIMU YA MKONONI.

0

Hii ni mara ya pili rapa Kanye West anaacha kutumia simu za mkononi kwenye maisha yake akiwa na sababu tofauti.

Kuna wakati Kanye West alisema ameacha kutumia simu za mkononi akitaja usumbufu na kutaka muda wa faragha kama sababu kuu.

Hata hivyo This Time round jamaa kaja na sababu toafauti.

Kanye West anasema ataachautumizi wa simu za mkononi ili aongeze zaidi ubunifu kwenye kazi zake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

ASLAY AJIUGUZA BAADA YA AJALI STEJINI

ASLAY AJIUGUZA BAADA YA AJALI STEJINI Msanii Aslay kutoka nchini Tanzania anasema anaendelea vyema baada ya kuteleza na kuanga wakati akitumbuiza wikendi katika show moja ...
Skip to toolbar