MSANII AL-KENIA LUV ASEMA HILI KUHUSU ELIMU KWA WASANII PWANI

0

Msanii Al Kenia Luv kutoka ukanda wa pwani amesistiza haja ya wasanii kuzingatia elimu.

Akizungumza katika kipindi cha Kaya Flavaz wakati wa mahojiano, Al Kenia aemelezea umuhimu wa msanii kupata elimu nzuri iwapo ana nafasi.

alkenia

“Elimu inamsaidia msanii kupanuka akili na kukabili changamoto mbali mbali zinazomkabili katika safari yake ya kimziki”, alisema.

Al Kenia aidha amefichua kiwango cha elimu ni mojawapo ya vigezo anavyozingatia wakati anataka kufanya collabo na msanii mwengnine.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MADEE AZUNGUMZIA BEEF NA ROMA

Msanii mkubwa nchini Tanzania Hamadi Ally aka ‘Madee’ hatimaye amezungumzia tetesi za mda mefu kwamba kuna uhasama baina yake na rapper Roma Mkatoliki’. Madee anasema ...
Skip to toolbar