MSANII AKIRI YEYE HUENDA KWA MGANGA.

0

Mwanamitindo maarufu nchini Tanzania Amber Lulu  ambay epia siku hizi ni msanii wa nyimbo za Bongo Flavaz amezua gumzo zito katika mitandao ya kijamii, baada ya kukiri wazi kwamba yeye ni mshirikina na huenda kwa waganga.

Kwenye mahojiano na runinga moja nchini Tanzania, Amber Lulu amefichua kuwa yeye huenda kwa mganga kwa ajili ya kupata usaidizi wa mambo yake anayotaka yanyooke.

Hata hivyo Ambere Lulu amekua wa haraka kufafanua kuwa anapoenda, hua halengi kumroga mtu yeyote katika azma yake ya kutaka mambo yake ya nyooke.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

CHRIS BROWN AMCHANA KANYE WEST

Msanii wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown amemchana rapper Kanye West kufuatia kauli yake kwamba watu weusi ni wa kulaumiwa kufuatia biashara ya ...
Skip to toolbar