MSANII AJINYONGA.

0

Msanii wa kundi la Rock la Linkin Park ‘Chester Bennington‘ amejiuwa kwa kujinyonga.

Polisi wamekuta mwili nyumbani kwake Palos Verdes jijini Los Angeles.

Chester Bennington alikuwa mume na baba wa watoto 6 na alikua na bibi wawili.

Chester Bennington alikuwa akipambana na matatizo ya matumizi ya dawa za kulevya na unywaji wa pombe kwa miaka mingi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar