MSANII ACHORA TATOO KIUNONI KULINDA NDOA YAKE.

0

Msanii wa kike wa miondoko ya HipHop nchini TZ Witness amechora tattoo ya jina la mpenzi wake Ochu Sheggy kwenye mauno yake.

Akizungumza baada ya kupost picha ya tattoo hiyo mpya, Witness ameeleza kuwa alichukua uamuzi huo kulinda ndoa yake.

Screenshot_20160821-211307

“Ukiweka tattoo sehemu niliyoweka mimi inazuia hata unapotaka kusaliti yule jamaa mweningine inanyima hamu kabisa na anashindwa hata kukutamani tena”.

Je unadhani kuchora tattoo za majina ya wapenzi katika maeneo ya siri kunaweza kuzia usaliti katika ndoa?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar