MSANII AAMUA KUTOA MAKALIO FEKI

0

Msanii mmoja wa kike nchini Marekani kwa jina Kimberly Michelle Pate maarufu kwa jina K.Michelle anataka kutoa makalio bandia aliyopandikizwa ka njia ya upasuaji.

K.Michelle amethibitisha kuwa mwaka 2018 anatoa makalio natayari anaripotiwa kuingai hospitalini kwa ajili ya awamu ya pili ya upasuaji wa kuyatoa.

K.Michelle amekuwa miongoni mwa wanawake waliovutia sana wasanii wenza pamoja na wanamichezo maarufu Marekani kwa kuwa na makalio makubwa na yenye mvuto kwa muda mrefu.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar