MR.NICE AKUTANA NA KANYE WEST

0

Msanii wa muziki mwenye asili yake nchini Tanzania aliehamishia makazi yake nchini Uganda Mr.Nice amefanikiwa kufanya kitu ambacho wasanii wengi kwa sasa Afrika Mashariki wanatamani sana; kukutana na rapper maarufu kutoka taifa la Marekani, Kanye West.

Imethibitishwa kwamba Mr. Nice amekutana na Kanye West na kuzungumza mambo mazito ya kimziki.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

BIRDMAN NA CASH MONEY WASHTAKIWA

Lebo ya Cash Money na bosi wao Birdman wameshtakiwa kwa kukwepa kulipia Sample za nyimbo walizotumia kwenye kazi za wasanii wao. Baada ya kusaini dili ...
Skip to toolbar