MOZEY RADIO ANYOA RASTA ZAKE. HII HAPA SABABU.

0

Msanii wa GoodLyfe Sekibogo Moses aka Mozey Radio, kwa mda muonekano wake umekua anayefuga rasta.

Ni wachache tumewahi kumuona akiwa bila rasta. Sasa taarifa ni kamba msanii huyu sasa amenyoa rasta zake.

Akizngumizia hatua yake, Mozey amesema alichukua hatua hiyo kwani wakati umefika way eye kurudi darasani atimize ndoto yake ya utotoni ya kuwa mwanasheria.

Mozey ameeleza kuwa kitendo cha kutaka kurudi shule ndicho kimemfanya anyoe nywele zake kabisa ili kuwa na muonekano wa mwanafunzi.

Kulingana na msanii huyu tayari amejiandikisha katika chuo kikuu cha Makerere kuanza kusoma mwaka huu.

Tayari Mozey ana bachelor’s degree ya Psychology.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar