MORBIZ AWASHAURI WASANII WA PWANI

0

Producer mkongwe katika tasnia ya mziki wa kizazi kipya pwani Morbiz aka Sheriff kutoka Thunder Sound Records anawashauri wasanii pwani kuungana ki ukweli na kuacha ubinafsi, iwapo wanataka kusonga mbele kimziki.

IMG_20160729_103444

Akizungumza katika kipindi cha Kaya Flavaz na Sis Shanniez, Morbiz amesema umoja miongoni mwa wasanii kanda ya pwani ndio ufunguo kwa manufaa ya kila msanii pwani.

Morbiz amesema daima wasanii wataendelea kulalamika faida duni ya kimziki pwani iwapo wataendelea kupigana vita vya chini kwa chini kila uchao.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

HUDDAH ASEMA ANAPENDA KUA UCHI MITANDAONI

Mwanamitindo maarufu mwenye makao yake jijini Nairobi Huddah Monroe anasema anapenda kusambaza picha za uchi mitandaoni. Huddah anasema anapenda mwili wake ulivyo na ndio sababu ...
Skip to toolbar