MEEK MILL ATOKA JELA

0

Rappa maarufu kutokea jimbo la Philadelphia nchini Marekani Meek Mill ametoka jela.

Meek mill alilazimika kutumikia kifungo cha miezi sita gerezani baada ya kukiuka masharti ya kifungo cha nje alichokua akitumikia awali.

Meek Mill alipatikana na hatia utumizi ya dawa za kulevya mwaka wa 2007 na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha nje.

Hata hivyo alivunja sheria na kulazimika kufungwa tena November mwaka jana.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

FID Q AFUNGA NDOA.

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q, amefunga ndoa jana katika msikiti wa Qiblatain Boko Jijini Dar es ...
Skip to toolbar