MCHUMBA MPYA WA NEYMAR NI MSANII.

0

Mskataji soka maarufu duniani raia wa Brazil anayechezea PSG ya Ufaransa amezua tetesi mitandaoni za kutoka kimapenzi na msanii moja wa kike raia wa Brazil kwa jina Anitta, baada yakuonekana naye katika tamasha moja wakijivinjari.

Katika picha zilizosambazwa mitandoni, Neymar anaonekana akimkumbatia na kumpiga mabusu ovyo ovyo Anitta walipokua wakila bata katika tamasha la Sambadrone, lililofanyika mji mkuu wa Brazil, Rio De Janeiro.

Mnamo Oktoba mwaka wa 2018, Neymar alithibitisha kuachana na aliyekua mpenziwe ambaye muigizaji maarufu nchini Brazil kwa jina Bruna Marquezine.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar