MBUZI YA BEBE COOL “APASS” YAFANYA VITUKO

0

Msanii Bebe Cool wikendi hii alkua mwenye huzuni baada ya mbuzi wake aliyempa jina la msanii mwenzake A Pass kushindwa katika mashindano ya mbio za mbuzi nchini Uganda.

Kulingana na mashabiki waliojitoeza kushuhudia mbuzi huyo alishindwa baada ya kugeuka a kukimbilia upande ambao sio.

Mbuzi huyu alijipatia umaarufu baada ya kupewa jina la msanii A Pass ambaye kwa mda amekua na uhasama na msanii Bebe Cool.

Bebe Cool anasema kwa sasa atalazimika kumchinja mbuzi A Pass na kumla sababu ameonyesha hana faida nyengine anayoweza kumpa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar